Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Naaam halafu mjue Nabii Gaucho karudi Nyumbani camp nou kama balozi.. Natamani enzi zingerudi, enzi zile Gaucho anapewa mpira mpaka mtangazaji anasahau kutangaza kwa sababu ya kukosekana coordination kati ya macho na mdomo inambidi aangalie gaucho anafanya nini! them days bana

Nakwambia ilikuwa balaa...
Na aliifufua Barca bila kusaidiwa na marefa...
 
Atamjulia wapi?
Wakati wenzie tunaangalia miujiza ya Gaucho, yeye alikuwa anahangaika na scobby doo, phat dogg mandoza, ed eddy and eddy na katuni nyingine zilizokuwa zinamkonga Moyo wake

Afadhali umeliona hilo
Maana mimi nilikuwa nashindwa kumuelewa
 
Hah hah hah hah Dinho made Barca
Barca made MSN
Alafu unajua kipindi hiko barca ilikuwa inasaidiwa hasa na uwezo binafsi wa wachezaji mmoja mmoja tofauti na siku hizi tik-tak formation ndio muingozo wa kuleta ushindi na ndio maana ukishindwa ku fit kwenye tik-tak unaonekana kiazi.
 
Mzee huu mchezo na ndo maana unaitwa FOOTBALL maana yake mpira wa miguu wewe kama unataka kuchezea tumbo basi anzisha mchezo stomachball, na ndomana kuna handball, au anzisha takoball kuchezea matako mchezo wako utapataashabiki tu.

Kusema eti kuchezea matako mpira hata kama mmefungwa huo sio mpira tunaita mbwembwe za ziada.

Kwamaana hiyo uko tayari kuona timu inapoteza ila Dinho acheze mbwembwe....

Sina maana Dinho hajui hapana ni moja kati ya maLegend wakubwa sana dunia hii...

Kwa wanaojua mpira watakuambia Wakina pele, maradona, na wengine wanajua mpira hakuana anaebisha nao wanajua lakin saivi ukiwahoji wao hawasemi Gaucho ni noma bila shaka sijawahi sikia moja ya malejend akihojiwa kuhusu Gaucho kama unavideo utanipa..

Ila ukiwahoji malegent wa soccer kila mmoja atakuambia hakuna aliyewahi kutokea kama Messi wataalam wanamuita A COMPLETE PLAYER wanamaana kwamba yuko fiti nyanja hizi;

Technically kwenye mpira hivi huvikwepi-

Goalscorer,
passer,
Dribbler,
playmaker,
midfielder. etc

Kama unajua mpira basi Messi hizi traits zote anazo

C. Ronaldo kuna baadhi hana hapo juu vilevile hata dinho hana kwamaana hiyo ukiacha kupokelea mpira kwa kutumia matako, kidevu sijuwi mgongo( which is not technically) Messi ndo G.O.A.T.- Greatest Of All Time

au
G.O.A.Ls - Greatest Of All Legends

Kama ilivyo kwenye ulimwengu wa sayansi no doubt Kwamba Newton is the Greatest thinker, philosopher, mathematician, physicist hence he is the top Genius in these field , along with Tesla and to all others but if you come who creatively thinks consciously no doubt Einstein

utasema oo Einstein kakuta wenzie wamemtengezea

Tuseme

Newton aseme I paved the way for calculus to Einstein

Clerk maxwell aseme I paved the way for electrodynamics to Einstein

Faraday aseme I paved the field equations to Einstein

Wapo wengi sana waliopaved way kwa Einstein sawa hoja yako kwamba aliyoa assist kwa Messi ni kama hawa tu ,

But the world knows who changed the way we think

300 yeats after Newtons no body questioned the equations of Newton until 25 yrs old Einstein laid the Debate on Newtons ideas haha..

Messi inabidi apewe kuwa icon ya FIFA kama ilivyo kwa Google ...ukigoogle neno Genius picha ya Einstein inatokea amefanya vitu vingi sana, ( kama utaviitaji )

Wale wanaosema hajabeba WC kwani anavyocheza baka WC atachezea kidevu au we kama amecheza bara bas kubali atafanya hivyohivhyo kutokana na kikosi chao maana hachezi pekeyake...

Galileo anasema The question is not who discovered it but it's who explained it simply.

Kumbuka kuna aliye gundua Benzene na aliyetoa structure ya benzene( Kekule na ndo anaye beba credit)
 
Haya tumekusikia
Kakojoe ulale sasa, sawa toto!
 
hah hah hah hivi unajuwa kuwa kuna tofauti kubwa kati ya busha na shipa?

ok may be nianze na kukutoa tongotongo, ishu ni kuwa huyo Nesi ktk ufungaji magoli pale Barca goli lake la kwanza kufunga alipewa pasi na huyu Nabii wa mwisho. na kama hio haitoshi Nesi anakiri ya kuwa hata kama angefumba macho siku ile basi angeweza kufunga tu.

na ukikazia kuwa mpira unamjuwa Nesi na kumpenda basi unakuwa unachuma dhambi.
saint Gaucho hata ukimpigia shuti la dochi basi mwilini mwake mpira utaganda tu na utatulia.

inaaminika pia kuwa kama mpira ungalikuwa na mdomo ungeomba kila dakika upelekwe kwa Dinho Magic ili akauchezee na kufurahi.

kajipange tena kisha urudi...
Kwanini hakuwapa hao wengine hadi ampe Messi???

na kama dinho ni mkali mbona hakuweza kuibeba ac milan na kwanini hakutamba psg???
 
H
Mzee huu mchezo na ndo maana unaitwa FOOTBALL maana yake mpira wa miguu wewe kama unataka kuchezea tumbo basi anzisha mchezo stomachball, na ndomana kuna handball, au anzisha takoball kuchezea matako mchezo wako utapataashabiki tu.

Kusema eti kuchezea matako mpira hata kama mmefungwa huo sio mpira tunaita mbwembwe za ziada.

Kwamaana hiyo uko tayari kuona timu inapoteza ila Dinho acheze mbwembwe....

Sina maana Dinho hajui hapana ni moja kati ya maLegend wakubwa sana dunia hii...

Kwa wanaojua mpira watakuambia Wakina pele, maradona, na wengine wanajua mpira hakuana anaebisha nao wanajua lakin saivi ukiwahoji wao hawasemi Gaucho ni noma bila shaka sijawahi sikia moja ya malejend akihojiwa kuhusu Gaucho kama unavideo utanipa..

Ila ukiwahoji malegent wa soccer kila mmoja atakuambia hakuna aliyewahi kutokea kama Messi wataalam wanamuita A COMPLETE PLAYER wanamaana kwamba yuko fiti nyanja hizi;

Technically kwenye mpira hivi huvikwepi-

Goalscorer,
passer,
Dribbler,
playmaker,
midfielder. etc

Kama unajua mpira basi Messi hizi traits zote anazo

C. Ronaldo kuna baadhi hana hapo juu vilevile hata dinho hana kwamaana hiyo ukiacha kupokelea mpira kwa kutumia matako, kidevu sijuwi mgongo( which is not technically) Messi ndo G.O.A.T.- Greatest Of All Time

au
G.O.A.Ls - Greatest Of All Legends

Kama ilivyo kwenye ulimwengu wa sayansi no doubt Kwamba Newton is the Greatest thinker, philosopher, mathematician, physicist hence he is the top Genius in these field , along with Tesla and to all others but if you come who creatively thinks consciously no doubt Einstein

utasema oo Einstein kakuta wenzie wamemtengezea

Tuseme

Newton aseme I paved the way for calculus to Einstein

Clerk maxwell aseme I paved the way for electrodynamics to Einstein

Faraday aseme I paved the field equations to Einstein

Wapo wengi sana waliopaved way kwa Einstein sawa hoja yako kwamba aliyoa assist kwa Messi ni kama hawa tu ,

But the world knows who changed the way we think

300 yeats after Newtons no body questioned the equations of Newton until 25 yrs old Einstein laid the Debate on Newtons ideas haha..

Messi inabidi apewe kuwa icon ya FIFA kama ilivyo kwa Google ...ukigoogle neno Genius picha ya Einstein inatokea amefanya vitu vingi sana, ( kama utaviitaji )

Wale wanaosema hajabeba WC kwani anavyocheza baka WC atachezea kidevu au we kama amecheza bara bas kubali atafanya hivyohivhyo kutokana na kikosi chao maana hachezi pekeyake...

Galileo anasema The question is not who discovered it but it's who explained it simply.

Kumbuka kuna aliye gundua Benzene na aliyetoa structure ya benzene( Kekule na ndo anaye beba credit)
Apo ni goal scoring na dribling ndo messi anaweza..hayo mengine labda kama unamuongelea xavi na iniesta..messi ni mchezaji wa mfumo,mfumo ukijamba anakua shetani mzururaji tu uwanjani,tofauti na dinho na maradona..hawa mgumo ukigoma wanaanza propaganda zao..rejea mechi ya chelsea na barce ile chelsea anaenda fainali..mfumo iligomo..messi ikawa afadhali ya giroud
 
Kwanini hakuwapa hao wengine hadi ampe Messi???

na kama dinho ni mkali mbona hakuweza kuibeba ac milan na kwanini hakutamba psg???
Dinho wa milan na no99 alikua kajikita kwenye starehe..kazi alifanya psg ndomana barce wakamnunua..na akatufanya tuitazamr barce iliyokua tayari imejifia
 
H

Apo ni goal scoring na dribling ndo messi anaweza..hayo mengine labda kama unamuongelea xavi na iniesta..messi ni mchezaji wa mfumo,mfumo ukijamba anakua shetani mzururaji tu uwanjani,tofauti na dinho na maradona..hawa mgumo ukigoma wanaanza propaganda zao..rejea mechi ya chelsea na barce ile chelsea anaenda fainali..mfumo iligomo..messi ikawa afadhali ya giroud
Sijasema kwamba uMidfielder Messi anamzidi Xavi Totally but anaweza kumfikia...Messi mwaka Jana kacheza kama midfielder kafunga magoli ulaya nzima what if ndo ingekua kazi yake?

Unazani Messi angekua anasubir mpira kwenye box kama MTU Fulani angekua na magoli mangapi bcze kwenye goal ratio tu anaonesha ubabe
 
Guardiola alimchezesha messimidfield na ibrahomovic striker..messi akatishia kuondoka kama hatokua mgungaji..ikabid kadabra aondoke..messi hawezi cheza nafasi asiyopewa jukumu la kufunga
 
Back
Top Bottom