Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
- Thread starter
- #161
Hatakuja kutokea dunia hi kama dinho na garrincha.
Hatakuja kutokea dunia hi kama dinho na garrincha.
Ukiulizwa ulimuona? suruali itakivuka...
Wacha kukurupuka, matendo anayofanya Dinho Mnyama hakuna aliewahi kuyafanya, Ingia Youtube kisha andika Ronaldinho Skills kisha ukimaliza kutazama matendo hayo ya mtume andika Garincha skills uone matendo ya kibinadamu ambayo hata Dagui Bakari au hata Chadwick anayafanya