Happy birthday Mtambuzi (Babuuu)

Happy birthday Mtambuzi (Babuuu)

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini wadau na wapendwa wote

wakati sio ukuta, Majira na nyakati Mungu ndiye hupanga nasi leo tunamshukuru Mungu kwa kumbukumbu ya kuzaliwa babuuu Mtambuzi ninamtakia kheri na fanaka na pia Mungu ampe afya njema na miaka mingi 100 mbeleni

Basi wadau msisite kumtakia kheri babu yetu huuyu kikongwe a.k.a kabanja au kibabu hahahahaaa
heri ya fanaka kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

HAPPY BIRTHDAY Mtambuzi


Wasalaamu
Ladyf
 
385443_142786282493904_913524820_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom