Na Hivi nyie wawili mnajua kuwa Ukristo na Uislamu zote ni dini za kuabudu mizimu? Kwamba mizimu hiyo ndiyo kiunganishi cha watu kumfikia Mungu? Kwamba kuna Mzimu Muhammad na Mzimu Yesu? Na kwamba Wanaoabudu Mizimu kwa majina mengine katika Afrika nao wanamwabudu Mungu?
Na kwamba Ukristo na Uislamu ndo walewale? Kwamba wamekaa kisiasa zaidi Kuliko kiroho zaidi! Kwamba Ukristo na Uislamu watuache waafrika tupumue!
Tuacheni tumue!!!!!!
Homework kwako.
1. Hivi unafahamu sababu za kutotajwa tarehe ya kuzaliwa Yesu Mungu?
2. Hivi unafahamu sababu za kutotajwa tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam kwenye Koran?
3. Hivi unafahamu Yesu Mungu alibarisha mwenendo wa dunia na kuanzisha AD na BC?
4. Hivi Yesu Mungu ana Baba? Unaweza nitajia Jina lake?
5. Hivi unafahamu kuwa, Kama Biblia ingetaja Tarehe ya Kuzaliwa Yesu, na Koran nayo ingetaja Tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?
6. Hivi unafahamu kuwa hakuna Injil ndani ya Koran, zaidi ya madai kuwa "tumeteremsha Injil"?
7. Hivi unafahamu kuwa UMEKIRI kuwa Allah hafahamu tarehe aliyo zaliwa Isa Bin Mryam?
8. Hivi unafahamu kuwa, UMEKRIRI KUWA Yesu Baba yake ni Mungu?
9. Hivi unafahamu kuwa UMEKIRI bila ya kujielewa kuwa Koran inakopia Biblia?
Nonda, hivi bado unaisaidia Koran kwa kuleta you tubes? Yaani inamaana Allah amefirisika kiasi cha kupata usaidizi wa you tubes? Hakuna aya yeyote ile ya kumfutia machozi Allah wenu?
Nasikia eti bado hamfahamu lini ni sikuu yenu - kesho au Ijumaa? Hivi kweli ndugu yangu, wewe unafuata dini inayoongozwa na Mwezi? Yaani Allah kaishiwa Mamlaka sasa anategemea Mwezi uchague Sikukuu? Nonda, I thought you are better than that.
Teh teh teh teh!
Yaani wewe umemshinda hata huyo mungu wako!
Kila ukifufuka! Unajibatiza jina lingine!!
Halafu mwenzako alifufuka pasaka tu!
Wee anytime! Teh teh teh teh!
Sasa je umekubali kuwa huyo mungu wako anatarehe ya kuzaliwa!?
Na zile video ustadhi Nonda alizokutumia umeziona!?
Teh teh teh teh!
Ugalatia unataka moyo nyie!!!!
Si mchezo!!
Umue nani?
Nyie si ndio mnao abudu wake zenu nyie!
Halafu unakuja mwaga povu hapa!
Sio moyo tu, unataka usiwe muoga wa moto ,ujiwehushe cz no logc,pia uwe ziwi na pofu
hiyo ni typo mkuu. nimeomba mtuache tupumue.... hizi dini zenu zinatuletea matatizo kuliko msaada katika siasa hapa afrika
Tuwaache muabudu nanii za wake zenu!??
Nyie msio na dini ndo balaa kuu ktk hii dunia!
Manake hamna mipaka! Mnaweza fanya lolote bila kuhofu chochote!
Nyie si ndio mnaofuata matamanio ya nafsi zeni bila mipaka!?!
Matokeo yake ni kutulegezea masuruali na wanamme kutafunana wao kwa wao!!
Ogopeni Mungu nyie!
haha haha ha.... inaelekea weye bwana ujaisoma Qur-an vizuri weye: Umaambiwa Mpende Mkeo nafsi ya pili tu, kutoka kwa Mungu. Yaani hata nafsi yako weye ni iwe ya tatu. Sasa unambie hapo; kati yangu mie nawewe nani anapenda papuchi zaidi hapo. Mimi?..au wewe? Ha ha ha ha ha... chezea papuchi wewe.....
Mdomo mali yako!
Halafu kuniita mi BWANA na hivo vicheko vya kikahaba vinatia shaka sana!
We ka mwanamme sawasawa hapana kuita mwanamme mwenzako BWANA na ukifurahi! Basi unacheka teh teh teh teehe!
Huko kukenua mdomo mpaka mwisho!
Unaweza kuitwa na mtu vibaya! Ukarusha ngumi!
Na nionyeshe hilo andiko linalosema huo utumbo ulio andika hapo juu!
Nyie subirini tu!
Siku mi nikichukua nchi! nyie msiokuwa na dini Mtakula mjeledi kama mkoloni alivyo wafanya!
Mpaka mjue kuwa mungu si mangi!
Na Hivi nyie wawili mnajua kuwa Ukristo na Uislamu zote ni dini za kuabudu mizimu? Kwamba mizimu hiyo ndiyo kiunganishi cha watu kumfikia Mungu? Kwamba kuna Mzimu Muhammad na Mzimu Yesu? Na kwamba Wanaoabudu Mizimu kwa majina mengine katika Afrika nao wanamwabudu Mungu?
Na kwamba Ukristo na Uislamu ndo walewale? Kwamba wamekaa kisiasa zaidi Kuliko kiroho zaidi! Kwamba Ukristo na Uislamu watuache waafrika tupumue!
Tuacheni tupumue!!!!!!
Ndo maana zinedine alisema hawa si wakujadiliana nao maana wanaleta utoto kwny facts mfano wa maswali anayouliza hayana tofauti na sisi tukuulze ww MAXSHIMBA kuwa biblia iseme paulo kazalwa trehe ngapi na alizaliwa akiwa na kilo ngapi
Unapovuta "joints", don't come here na kupost -----.
Homework kwako.
........
8. Hivi unafahamu kuwa, UMEKRIRI KUWA Yesu Baba yake ni Mungu?
9. Hivi unafahamu kuwa UMEKIRI bila ya kujielewa kuwa Koran inakopia Biblia?
Kwanza ngoja niweke mambo sawa maana naona unaweza kuwasababishia baadhi ya watu usumbufu ili ukiendelea ijulikane una matatizo mengine
Ndugu mimi ni MWANAUME na sio kama unavuofikiria maana naona kila uchao unalazimisha mambo ya ajabu sana!!!!