Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

Happy Birthday Mke wangu Mpenzi...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,240
Reaction score
17,678
Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa kuyakabili magumu yote na kuzidi kusonga mbele.
Mungu awe na wewe siku zote..

Happy birthday to you.

I LOVE YOU SO MUCH!!

Copy kwa ndugu na marafiki zangu wote wa JF.
few to mention..
Baba V, Mamndenyi, Arushaone, watu8 & ur wife, Ablessed, Madame B, Heaven on Earth, mwallu, DEMBA, KOKUTONA, The secretary, Mr Rocky, Lady doctor, Erickb52, Chocs, Mwanyasi, Judgement, Paloma, sosoliso, Slave(naamini umeshapona) Mtoto halali na hela, THE BIG SHOW, Sizinga, MMAHE, mwungwana, farkhina, Mzee, kabanga, 24hrs, figganigga, gfsonwin, Ritz Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Smile, Kaizer, ladyfurahia, Asprin, LiverpoolFC, Preta, scorpion girl, tinna cute, miss chagga, Ladymasa, amu Arabela, SHIEKA, mshana jr & ur wife angel, CHAMInglady, Passion Lady, Ruttashobolwa....
 
Last edited by a moderator:
Mungu mpe maisha marefu kiumbe wako huyu.
Mumewe endelea kum'badilishia mboga .
 
Happy birthday shansarie Mungu akubariki mnoooooooo na ninawatakia maisha mema
 
Last edited by a moderator:
Zawadi zako hizi
 

Attachments

  • 1384886977811.jpg
    1384886977811.jpg
    30.6 KB · Views: 284
  • 1384886989736.jpg
    1384886989736.jpg
    29.2 KB · Views: 257
thankx my love kiwatengu for the wishes, you have been part of this journey till today
thumbs up kwako kwa kunijali na kunipa furaha kila siku iitwayo leo
your the best thing ever happen to me

love you so much
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday shem shansarie!!

MUNGU akupe maisha marefu yenye mafanikio, akuepushe na maradhi na maadui. Mpende sana mumeo ambaye ni ndg yangu kiwatengu, pia mjaaliwe familia bora yenye furaha! AMEN

HAPPY BIRTHDAY SHEM
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my dear shansarie uwe na maisha ya furaha na amani na Mungu awe kati yenu sikuzote akuepushe na kila baya la dunia hii akujaalie mema katika maisha yako yote na Mumeo kipenzi kiwatengu.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday to you shansarie
uwe na maisha marefu................!
Una miaka mingapi?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mke wa kiwatengu. Mungu akulinde milele amen.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom