Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
hbd pal
Habari zenu wana JF........
Ni siku nyingine tena bwana amefanya,leo ni kumbukumbu ya siku yangu yakuzaliwa.
Nilizaliwa tarehe kama ya leo na mwezi wa leo siku ya jumapili,alfajiri.
Namshukuru mama kwa uaminifu wake wakunitunza nikiwa tumboni mpaka kuzaliwa kwangu.
Shukrani pia kwa baba maana bila yeye nisingekuwepo.
Namshukuru Mungu kwa afya njema aliyonikirimia......nasema asante kwani ni msingi wa kila jambo.
Mbarikiwe wana jf!!!!

Happy birthday and wishing success !!Habari zenu wana JF........