Happy Birthday miss strong

Happy birthday to you. Imekuwa ghafla maana nilipitiwa kukutumia zawadi yako ili uipokee leo. Usijali Mwenyezi Mungu aweke ulinzi wake katika maisha yako ya hapa duniani, akulinde na kukuongoza katika njia yenye kumpendeza. Akujalie hekima na baraka katika kazi zako. Akufunike kwa mikono yake. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe
 
Hongera sana, Mungu azidi kukufanya Miss strong to Ms stronger and stronger with great humility.

Habari zenu wana JF........
Ni siku nyingine tena bwana amefanya,leo ni kumbukumbu ya siku yangu yakuzaliwa.
Nilizaliwa tarehe kama ya leo na mwezi wa leo siku ya jumapili,alfajiri.

Namshukuru mama kwa uaminifu wake wakunitunza nikiwa tumboni mpaka kuzaliwa kwangu.

Shukrani pia kwa baba maana bila yeye nisingekuwepo.

Namshukuru Mungu kwa afya njema aliyonikirimia......nasema asante kwani ni msingi wa kila jambo.

Mbarikiwe wana jf!!!!
 
Happy Birthday miss strong,,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na Mafanikio tele!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom