Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,230
- 6,471
Habari wanabodi.
Mwanasiasa kijana anayependwa mno na vijana wenzie, Mheshimiwa January Makamba Leo ametimiza miaka 44. Mheshimiwa January amezaliwa January 28/1974.
Kwa niaba ya wana Jamii Forums na Watanzania kwa ujumla namtakia siku njema ya kuzaliwa kwake na familia yake kwa ujumla.
Mwisho namtakia mafanikio ktk uwaziri wake na ndoto zake amabazo hazijatimia, naomba zitimie nyakati zijazo kwa mustakabali wa Jamhuri hii.
AMEN