Happy Birthday Mheshimiwa January Makamba: Mungu akuzidishie miaka mingi na ndoto zako zitimie.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,325
2,000
Habari wanabodi.

Mwanasiasa kijana anayependwa mno na vijana wenzie, Mheshimiwa January Makamba Leo ametimiza miaka 44. Mheshimiwa January amezaliwa January 28/1974.

Kwa niaba ya wana Jamii Forums na Watanzania kwa ujumla namtakia siku njema ya kuzaliwa kwake na familia yake kwa ujumla.

Mwisho namtakia mafanikio ktk uwaziri wake na ndoto zake amabazo hazijatimia, naomba zitimie nyakati zijazo kwa mustakabali wa Jamhuri hii.

AMEN
 
goodluck5

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
4,795
2,000
Hapo uliposema "ndoto zako zitimie" ndo umeharibu...jamii ya makamba ni aina ya watu wa kujipendekeza na unafki kwa kwenda mbele, hawafai kabisa kupewa mamlaka makubwa.
Hawezi kuwa na ujasiri wa kuwakemea marafiki zake hata wakiboronga, ni kama jk tu
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,576
2,000
Mimi namshangaa jamaa Licha ya kuwa dollar millionaire bado anakomaa tu uwaziri Na siasa nakupelekeshwa Na WASHAMBA. Ningekuwa yeye Sasa hivi ningekuwa natembeza myti borabora visiwa vya Polynesia
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,325
2,000
Mimi namshangaa jamaa Licha ya kuwa dollar millionaire bado anakomaa tu uwaziri Na siasa nakupelekeshwa Na WASHAMBA. Ningekuwa yeye Sasa hivi ningekuwa natembeza myti borabora visiwa vya Polynesia
Una uhakika na hayo madola, acha majungu
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,576
2,000
Watanzania tunachonga sana ujue. Juzi wamepeleka fomu zao za tamko la rasilimali na madeni kwenye tume ya maadili. Kwani usiende kule kulalamika wakati gharama ya kuna fomu ya kiongozi ni sh Elfu moja tu?
heyyyyy naona unaingiza Giza kwenye mwanga wangu
 
screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,875
2,000
Mimi namshangaa jamaa Licha ya kuwa dollar millionaire bado anakomaa tu uwaziri Na siasa nakupelekeshwa Na WASHAMBA. Ningekuwa yeye Sasa hivi ningekuwa natembeza myti borabora visiwa vya Polynesia
Unaweza kunikumbusha Trump alichowaambia miafrika?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom