happy birthday mama

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
dah nilikuwa nimesahau jamani,leo ni birthday ya mama yangu mpendwa
namuombea kwa mungu amjalie kila lililo la kheri katika maisha haya
i wish mama upone uwe kama zamani
nakumbuka kipindi naenda shule ulivokuwa unanitengenezea kuku wa kula njiani ili nisile vitu vibaya njiani.sasa nimekuwa mkubwa i wish nikutengenezee na wewe kuku ila huwezi kula tena swit mamy why you
nakumbuka ulivokuwa unanipeleka vidudu nilipokataa maana wenzangu walikuwa wananitania eti na vimashimo kwenye mashavu i wish nione vyakwako mama.
to be honest kuumwa kwako ni kitu kinanikosesha furaha hapa duniani mama
in your birthday nakuombea kwa mungu upone tu jamani
i love you my mother with all my heart
 
Happy Birthday mama Smile.....
Nakutakia afya njema upone haraka......Smile hana raha kuhusu kuugua kwako....
 
Happy Birthday mama Smile.....
Nakutakia afya njema upone haraka......Smile hana raha kuhusu kuugua kwako....
ubarikiwe preta kwa maombi yako
 
Mtakie HAPPY BIRTHDAY kwa niaba Smiley. . .
Mungu amjalie afya njema.
 
happy b day kwa mama yako

btw.....huyo mama ni member hapa jf?
 
Happy birthday mama yake na Smile!!! Get well soon....
 
Happy birthday to Mama smile...Abarikiwe sana!

Hata hivyo, mpambano wetu uko pale plae🙂))
 
Happy Birthday Mama Smile...May you get well soon in God's name! AMEN!
 
happy birthday mama yake smile.
wish you quick recovery mama. amen.
 
Happy birthday mama yetu mungu akupe maisha mema na marefu siku zote
 
Am touched by this message, i wish my mom was still alive, ningeicopy na kumpastia siku ya birthday yake.

Wish your mom fast recovery too
 
am touched by this message, i wish my mom was still alive, ningeicopy na kumpastia siku ya birthday yake.

Wish your mom fast recovery too
thax musimo sory for the loss of your mother
 
Happy Birthday Mama Smile!
Mungu akujalie upone haraka (ili Smile aweze kutekeleza yale anayotamani kukutekelezea).
 
Happy Birthday Mama Smile na pole na kuumwa, Smile utapitia kitenge cha WAX cha mama hapa nimemnunulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…