Happy Birthday Mahondaw ❤️

Napokea mwenyewee dear do the needful babuakeeee!
Namtuma wakala afanye jambo soon mjukuu
Amina kubwaa babu
Kila la heri kwenu, najua mwaka huu wewe na smart mtatukaribisha kukata keki mkioana 🙏🙏

Nimechoka kuhaidiwa koti la babu kila mwaka kwenye mahari na siletewi 😜
 
Namtuma wakala afanye jambo soon mjukuu

Kila la heri kwenu, najua mwaka huu wewe na smart mtatukaribisha kukata keki mkioana 🙏🙏

Nimechoka kuhaidiwa koti la babu kila mwaka kwenye mahari na siletewi 😜
Igweeeeeeeeeeeeeeee babu ushasema nani apinge??????

Nasote tuseme Amina kubwaaaaa. Koti tu ushapata sema kingine babu akeeeer😄😄😄😄
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee babu umeshasema ninani wa kupinga??????

Nasote tuseme Amina kubwaaaaa. Koti tu ushapata sema kingine babu akeeeer😄😄😄😄
Awamu ya kwanza ilikuwa koti la babu la kununuliwa pale Karikaoo, saivi nataka lije na ndege kutoka Italy kabisa

Msisahau kuniletea na zawadi ya Kiko tu 😜
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…