Happy birthday Madame B

Happy birthday Madame B

Halafu Madame B mpenzi nimekuletea vitenge na mabazee toka dubai na nina bonge la zawadi lako la besidei.
Utakuja leo home kuvichukua. Si utaspend night kwangu?

Ila nakuja na Chimbuvu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuambie ukweli Chilli, china walikuwa wameidevalue currency yao dhidi ya dollar ili waweze kua na cheap labour,and now chinese yuan imempiku dollar for the first time sasa muombee tu gavana wa chinese bank reserve aidevalue currency na ndio atachofanya ili kuwaweka hai ninyi wamachinga or else mtakutana na crisis kama inayokuja european union,sanasana nakushauri ni bora utengeneze product zako hata kama ni pombe za kienyeji sawa machinga Chilli?




Halafu Madame B mpenzi nimekuletea vitenge na mabazee toka dubai na nina bonge la zawadi lako la besidei.
Utakuja leo home kuvichukua. Si utaspend night kwangu?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuambie ukweli Chilli, china walikuwa wameidevalue currency yao dhidi ya dollar ili waweze kua na cheap labour,and now chinese yuan imempiku dollar for the first time sasa muombee tu gavana wa chinese bank reserve aidevalue currency na ndio atachofanya ili kuwaweka mjini ninyi wamachinga or else mtakutana na crisis kama inayokuja european union,sanasana nakushauri ni bora utengeneze product zako hata kama ni pombe za kienyeji sawa machinga Chilli?




Halafu Madame B mpenzi nimekuletea vitenge na mabazee toka dubai na nina bonge la zawadi lako la besidei.
Utakuja leo home kuvichukua. Si utaspend night kwangu?
 
Last edited by a moderator:
Kama mrembo wangu Madame B amekubali kuja sina jinsi ntamleta tu naona unahamu ya kumuona shemeji yako,by the way kuna gari la ffu litakuwa linatusindikiza maana wamachinga huwa hamchelewi kuandamana


Hakuna shida, jinsi nina machungu nae we niletee tu!
 
Kama mrembo wangu Madame B amekubali kuja sina jinsi ntamleta tu naona unahamu ya kumuona shemeji yako,by the way kuna gari la ffu litakuwa linatusindikiza maana wamachinga huwa hamchelewi kuandamana

Jamaniiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom