St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Nashukuru sana.
Tanga nisharudi now niko home Kinondoni.
Karibu.
Unaona sasa snowhite,si nimesema....
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana.
Tanga nisharudi now niko home Kinondoni.
Karibu.
mama yangu!Nashukuru sana.
Tanga nisharudi now niko home Kinondoni.
Karibu.
Shikamo Paka mweusi! niogope nini tena?
Asante sana! Madame BNashukuru sana.
Tanga nisharudi now niko home Kinondoni.
Karibu.
ahahhahahhahhahhaha kuna siku nyingine una adabu!lol!
Bora umekuja mwanachama mwenzangu.
Huyu St. Paka Mweusi ananionea gere.
aah! ngoja niidai, ila huyo paka mweusi hawezi kua paka wa maajbu, asije nisumbu mieMtoto wa juzi huyo afu unamwamkia?
Mwambie akurudishie shkamoo yako.
ayyyyaaaaaaaaaah!asante sana! Madame b
ahahhahahhahahha aulize kilicowapata wenzie!pana chezeya mwalimu wa walimu Madame B mi na we tumetoka mbali sana mpenzi siwezi kukufanyia hiyana bana usimsikilize @st paka mweusi
Madame B Madame B na mimi nina roho mama, haya hayavumiliki mama.
Na wewe Chimbuvu japo yawezekana ni wa kwetu lakini lazima nikukomeshe. We muulize Arushaone nlichomfanya.
Mtoto wa juzi huyo afu unamwamkia?
Mwambie akurudishie shkamoo yako.
ndio bas tena kuhusu nini Snowhite? Ila u mzima nduguayyyyaaaaaaaaaah!
Ndo bas tena!
Hivi mwalimu unafikiri baba anaposema nimekumbuka wanangu ni kweli kawakumbuka wanawe,, au mama yao..??Hii adabu inayoonyeshwa hapa leo najua tu kuna kulichojificha nyuma yake,si kawaida ati hii...
Yani St. Paka Mweusi ananiletea full zengwe hapa.
Wakati anajua wazi kuwa ana siri zangu nyingi.
ndio bas tena kuhusu nini Snowhite? Ila u mzima ndugu
Hahahahah Chili mtu mzima hatishiwi nyau,muulize Mwanaharakatihuru nilichomfanya madale yeye na wenzake waliokuwa wamevamia eneo langu,,dont play with fire,u hv already expired. Hahahhaahah
Nashukuru sana.
Tanga nisharudi now niko home Kinondoni.
Karibu.