Happy Birthday Lizzy...Licious

Dah nilikuwa nawahi kurusha sredi kumbe mzembe wa kwa mtogole keshairembea hewani. Khaa mishen imebaunz!

Hepi besdei ka new born lizzy.

Halaf naomba ukuje huku kuzima huu mshumaaa wangu, nimeuwasha kwa mkono tangu saa sita nakusubiria na nitaendelea kuhakikisha hauzimiki mpaka unafika.
 
Wifi lizzy,
Ur bday is a special time to celebrate u, to cherish and adore u. For a wonderful wifi like u, there is no need to celebrate u once a year. From now on,kila siku itakua ur 'pretend bday', bt happy true bday my dear. Asante kwa kumtunza kaka yetu
 
Mzembe wa Tandale tatizo lako la kukesha kwa mama muuza haujaliacha tu, dah halafu siku hizi una mshumaa:juggle::eyebrows:
 
Hapo red hapo!
Nitachafua sherehe muda si mrefu.
 
Hapa mzembe niko fulu bling bling, demu akiniongelesha kiswahili naziba pua. laleki!
Dah!! Unakaba leo Lizzy atapata shida sana maana wale wahuni wa Tandale kwa mtogole lazima wanywe hadi walazwe hospitali nasikia mzee utatinga kitaa na binti full mauzo
 
Mzembe wa Tandale tatizo lako la kukesha kwa mama muuza haujaliacha tu, dah halafu siku hizi una mshumaa:juggle::eyebrows:
Ka mshumaa kadooogo kwa ajili ya lizzy, lakini lizzy kanamtosha, ka lizzy kenyewe kana matatizo ,kakipuliza muda mrefu kanaona kizunguzungu.
 
Dah!! Unakaba leo Lizzy atapata shida sana maana wale wahuni wa Tandale kwa mtogole lazima wanywe hadi walazwe hospitali nasikia mzee utatinga kitaa na binti full mauzo

Leo bega kwa bega na mrembo anakwenda kwa nembo ya halle berry wa manzese, vidada vya JF bora visihuzurie tu, vitaishia kuzimia bila kifafa. Mimi ndo faifu star kloro bana
 
Na wewe gongo linakulandua akili! Vuta bhange kichwa ikae sawa! Umenisahau mie mdogo wako,jina la home liligoma kusajiliwa jf,kha!

Mara ya mwisho kuvuta msuba nilijikuta nasifia na kuvutiwa na makalio ya mende. Laleki! zake majani
 
Lizzy;

It's your birthday and I can't be there
But I'll send you a special birthday wish and a little prayer
Have a happy birthday
I hope that all of your birthday wishes come true
May you have a great time today and find happiness in everything you do!

Leo bega kwa bega na mrembo anakwenda kwa nembo ya halle berry wa manzese, vidada vya JF bora visihuzurie tu, vitaishia kuzimia bila kifafa. Mimi ndo faifu star kloro bana
Haya kamanda ngoja tuone sherehe itakavyoisha kama hatujaishia kukubeba kwenye machela leo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…