Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Kwanza muulize kuna njia ya msalaba ya jumanne???
Ndiyo hivyo mama
Hivi ilikuwa nije wapi tena??? Lol uzee umeanza kunijia mwenzio....... Ntakoma mie
Mtoto hataki ndyofu,labda tumpe soda za Tanga(ile ya perfume)
sweetlady nimekuambia rudi jikoni, ukimaliza nenda sokoni manake my Lily Flower hana muda. ukichelewa nakukata mshahara kha!Si mpaka aje...... Mungi wala hajui kama leo ni birthday ya Lily Flower
Happy birthday mke mwenzangu Lily Flower ..... Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani, upendo na utulivu daima....... Ntakuazima Mungi kwa leo tu!!!!
sweetlady nimekuambia rudi jikoni, ukimaliza nenda sokoni manake my Lily Flower hana muda. ukichelewa nakukata mshahara kha!
sweetlady nimekuambia rudi jikoni, ukimaliza nenda sokoni manake my Lily Flower hana muda. ukichelewa nakukata mshahara kha!
mambo Dena Amsi
sweetlady usijali Arusha one atakujuza!
Waaaaaaaaawwooooooo hatimae umerudi dah nilikuwa naanza kupata wasiwasi ujue....
Mzee wa Rula na Arushaone njooni huku sweetlady anawaitaHaiwezekani na tena haikubaliki!!! Nimenuna
Nimekataa Passion Lady.......tena ntaandamana......... Ilikuwa lini vile?...... Khaaaa
It was last Friday to Saturday full kukaribishwa
Duuuuuh......siamini ujue ! Haya mambo ya kukesha church ndo yatakuwa yameniponza....... Btw nafurahi kama ulipata ukaribisho wa haja my dia
Inawezekana ulikuwa church maana simu was not reachable