Happy Birthday Lady doctor!

Happy Birthday Lady doctor!

Once again, heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako binti yetu mpendwa Lady doctor

Daddy & Mom measkron
 
Last edited by a moderator:
Kamuulize jogoo...

we mzee.. aisee nakuheshimu sana! tena nakuheshimu kwa sababu nyumba yako imebarikiwa watoto wa aina moja!

heheheeeeeee!!!!:cell:ntakupia mzee kwa msaada zaidi eenh!
 
najua mkuu lady doctor ni mdau maarufu sana hapa jukwaani,
umemcheleweshea haki yake kwa wanajamvi.
pia sijakuona hata ukiwaita marafiki zake waje wam'wish kama yeye anavyofanyaga..

ngoja mi nimwite mpenzi wangu hapa aje amtakie maisha marefu.
sweety miss chagga come this way leo ni birthday ya lady doctor

happy birthday to her
 
Happy birthday my fellow mkaguzi Lady doctor

Will you marry me?
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday lady doctor..Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha.
 
Back
Top Bottom