####### Happy Birthday Kivumah######

Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)

ladies wapo .. Hizo idara hapo juu ni uangalizi tu ..
haupiki wala nini .. wafika pale chukua check list
hakikisha kila kitu kipo hapo .. halafu unaelekea ukumbini basi..
(V.I.P section..)

nimesha tayarisha chief, waiters na waitress ...
 
Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)

Umeona eeehhh alivyofanya vibaya hakuna hata mwanamke kha???
 
Waaaoooooooooh, Nice Msg
Nashukuru saaana Kiongozi and kwakweli ALL JAMII FORUMS MEMBERS, I PERSONALLY THANK U.
TUKO PAMOJA WAKUU

Pamoja sana Kaka...Jamii hii ni njema sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…