And you say you have stopped being nasty.. Sweetie nimemuuliza...
kasema kati ya Kimey or ODM... Or yule jamaa wa kwenye corner..
Nilikuwa wapi??
damn politiki. damn libya!!
happy birthday bana!!!!
nina tembo card master card!!bora umestuka aisee. senk yu banaa! ila zawadi bado zinapokelewa
nina tembo card master card!!
upo interested??
atakuwa yule jamaa wa kwenye kona basi.manake kama ni kimey ama odm nisingefika salama atii! sina imani nao hata chembe,lol!
nasubiria pipi zangu kutoka kwa kapipi
weee!! shiiiii!!!!Hivi wifi umeona avatar ya memo?? Dah!
.....dirty going on?!!!!Memo believe me you... with that Avatar there is bound to be some....
Hapo you have chakachuad my meaning... i meant love....lol... Stop being naughty...
Hahahahaaa!!
ngoja nimuulize birthday gal kama mimi ni naughty!!
na yeye akisema ndiyo!! najua vote yako na yeke ni sawa na vote zote za MMU!!!
hivi nafanya nini humu na uzee wangu huu!!! ngoja nirudi ibya!!
Lmao in blue.... Dah! Mimi hapo no comment... siitaki kununua case...
Kuhusu pipi usijali... ngoja jamaa arudi, zipo kwenye gari yake....
Hivi wifi umeona avatar ya memo?? Dah!
Hahahahaaa!!
ngoja nimuulize birthday gal kama mimi ni naughty!!
na yeye akisema ndiyo!! najua vote yako na yeke ni sawa na vote zote za MMU!!!
hivi nafanya nini humu na uzee wangu huu!!! ngoja nirudi ibya!!
duhhh
haya mambo ya kuchukua holiday
haya saa nyingine mabaya sana yaani...
Nimepitwa na bday party ya kufa mtu duuhhh
nway King'aaast I need youu I love youu
ana ana anaaa doo .........
King'ast Happy Belated Birthday my dear
hopefully you had a great,
(full of fun) day.....
HappyBirthdayKing'ast .............
afrodenzi,
thanks my dear! u really missed out vya huku,ila si ulipata vya holiday. it was nice, nazidi kuusogelea uzee kwa mbwembwe
Hivi nachosoma ndo kilichoandikwa au macho yangu yananidanganya? Inauma sana aisee..... This is very unfair....ODM amesikitika sana, ODM amefadhaika sana......ODM is sad and unhappy.... But his love is still there....won't change.atakuwa yule jamaa wa kwenye kona basi.manake kama ni kimey ama odm nisingefika salama atii! sina imani nao hata chembe,lol!
nasubiria pipi zangu kutoka kwa kapipi