The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Hommie unatimiza valuu na vice of no reason ngapi vile leo????
Thanx my Love the nurse! Dag nakuahidi ntakua mwanafunzi wako mwaminifu!hapy b to u!!! x 2
hapy birthday dear wangu x 2 :clap2:
karibu ktka ulimwengu mpya nitakufundisha yote ya ulimwengu.
Khe Kheee Kheeee nataka niongelee jana ila nitaharibu Bday halafu na wewe ujue kutangulia sio kufika mlifikiri zile 4 ndio mlikuwa mmemalizaHappy Birthday Kimey.....pole kwa jana mwanangu mpenzi...aunt anajua soma nyota eeh....lol
Have fun today,long live with abundance of love and blessings from our almighty God.......cheers!
kuna conflicts of interest hapa mpwa!...
Hahaha Thanx Michelle! Mi ya jana hata cyajui nilikua tumboni mwa mama! Lol!Happy Birthday Kimey.....pole kwa jana mwanangu mpenzi...aunt anajua soma nyota eeh....lol
Have fun today,long live with abundance of love and blessings from our almighty God.......cheers!
Hehehe cunajua hommie nimeanza hii kitu toka nipo mchanga kwa hiyo nimepoteza kumbukumbu!Hommie unatimiza valuu na vice of no reason ngapi vile leo????
Hii ni kwa mujibu wa intelijensia yangu mwenyewe na si ya mdogo wangu afande MWEMA!Mpwa naona kuna habari ya wikileaks hapa sasa hapo inabidi uwe na uhakika na presha yako kwanza...
Meza tunaanza kupanga tokea asubuhi???Hehehe cunajua hommie nimeanza hii kitu toka nipo mchanga kwa hiyo nimepoteza kumbukumbu!
Yesu wangu, mnaongelea nini hapa? mdada gani?Mchakato unaendelea broda, na ndo niko kwenye hatua za mwisho kuikamilisha!
Tegemea majibu soon, lakini kwa kukudokezea tu ni kwamba huyu m-bidada sasa hivi ameanzisha mawasiliano ya karibu na MTM!, JAMBO AMBALO LINAMUUMA SANA kIMMEY!
nipe mwanga mkuu mbona nimepotea kabisa patupu, hapa mnamzungumzia nani?hahahaha!
lakin huyu MTM huyu....!
ngoja,will personnally deal with him
nipe mwanga mkuu mbona nimepotea kabisa patupu, hapa mnamzungumzia nani?
on a serious note nahitaji kuombwa msamaha
Happy birthday dearest. mzima ww karibu mishkaki