Happy birthday @Katavi...

Happy birthday @Katavi...

Wewe ni jangili? Unaenda kuua wanyama kila wakati wa kumbukumbu yako ya kuzaliwa badala ya kunyonya maza'ako?

Tunakuandalia mashtaka mazito SANA!!

At the meantime, Happy Birthday Katavi . . . Grow older!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaah! Mkuu Arushaone mimi sio jangili nimepata kibali cha kuua swala 3 na nyati 2.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mungu nazidi kuelekea uzeeni. Naelekea Katavi National Park kutafuta kitoweo kwa ajili ya kusherehekea baadae. Happy birthday to me....!

happy b'day usisahau kumshukru Mungu.
 
mbona huwa hamsemi mmetimiza nyundo ngapi duniani?KARBU UKUBWANI STEET NJIA PANDA YA KUELEKEA UZEENI NA .........happy b k
 
Asante sana, bado nipo kwenye umri wa ujana according to katiba yetu.
 
Nashukuru Mungu nazidi kuelekea uzeeni. Naelekea Katavi National Park kutafuta kitoweo kwa ajili ya kusherehekea baadae. Happy birthday to me....!

Happy Birthday mkuu...usiache kuniletea "digidigi"...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom