Kwa niaba ya mama yangu charminglady na mtalaka wangu Mamndenyi ambaye leo kaweka kando tofauti zetu na kuja kunipa kampani, nakushukuru sana kaka Erickb52 kwa baraka zakoKwa niaba ya mke wangu Amyner ,mpenzi wangu Kipipi (Mpango wakando), My Ex Small house Remmy ,My Ex Kipoozeo BADILI TABIA napenda kukutakia heri katika maisha yako...Mungu awe ngao yako katika kuyabariki na kukuongoza kutenda mema ukiamini dunia ni wapitaji.
Mungu akupe maisha ya furaha na upendo daima!
Happy Birthday Katavi
Kwa niaba ya mke wangu Amyner ,mpenzi wangu Kipipi (Mpango wakando), My Ex Small house Remmy ,My Ex Kipoozeo BADILI TABIA napenda kukutakia heri katika maisha yako...Mungu awe ngao yako katika kuyabariki na kukuongoza kutenda mema ukiamini dunia ni wapitaji.
Mungu akupe maisha ya furaha na upendo daima!
Happy Birthday Katavi
Heeheheheee haya musee ila angalia Vin Diesel asilete nomaKwa niaba ya mama yangu charminglady na mtalaka wangu Mamndenyi ambaye leo kaweka kando tofauti zetu na kuja kunipa kampani, nakushukuru sana kaka Erickb52 kwa baraka zako
Heeheheheee haya musee ila angalia Vin Diesel asilete noma
Vin Diesel hana noma na mimi.
HahahahahaaaaaAsee unajua ndoa zangu nyingi zimevunjika kisa maneno yako....
Hahahahahaaaaa
Aisee Vin Diesel sio mimi ni Mr Rocky tena anasemaga wewe kiruka njia ndio maana unaachwa sana!
Copy kwa Mamndenyi
Kwa niaba ya mke wangu Amyner ,mpenzi wangu Kipipi (Mpango wakando), My Ex Small house Remmy ,My Ex Kipoozeo BADILI TABIA napenda kukutakia heri katika maisha yako...Mungu awe ngao yako katika kuyabariki na kukuongoza kutenda mema ukiamini dunia ni wapitaji.
Mungu akupe maisha ya furaha na upendo daima!
Happy Birthday Katavi
Kwa niaba ya mama yangu charminglady na mtalaka wangu Mamndenyi ambaye leo kaweka kando tofauti zetu na kuja kunipa kampani, nakushukuru sana kaka Erickb52 kwa baraka zako