thanks \asha. naona Maundumula kanikataza kupokea, nawaacheni na kaka yenu hapa mmpe company ya kutosha, he is so lonely in a village i cant even name Kongosho, ni saveya mwenzio...
asante sana brother wangu mngine
Asante sana Bro.....
Mwali ni binamu bana sio dada!
Nipe kazi hiyo aisee..........., ila kuwafanyia watu kazi nyie mnaojifanya mnayajua haya mambo huwa mnakaba! Hata kazi hainogi yaaniReally? Ujue natafuta saveya nna ka plot kangu nyumbani
Si unajua mganga hajigangi, nashindwa kujisayeia
thanks \asha. naona Maundumula kanikataza kupokea, nawaacheni na kaka yenu hapa mmpe company ya kutosha, he is so lonely in a village i cant even name Kongosho, ni saveya mwenzio...
Hiyo kitu ndio inanigombanisha na Mwali kila mara aisee ........Hongera kaka binamu.
Kuna sehemu nilisikia "binamu nyama ya hamu", ila sikuelewa maana yake...
Hiyo kitu ndio inanigombanisha na Mwali kila mara aisee ........
Niombee tu mkuu, ila kiukweli kwa mbali naanza kuuona mwanga katika hili.....Binamu anakufeel mpaka kakuanzishia thiredi thi mchedho.
Dalili nzuri hizo, mafanikio hayako mbali.
Usikate tamaa. Kigumu kitamu, chepesi ukakasi...
kwanini kiongozi tena?Naanza kuzichukia hizi bethidei sasa...
Asante sana mkuu, niko na furaha sana kiongoziHappy Birthday mkuu...