Mkuu Invisible mpaka leo umeanzisha thread ya HB, nimeamini huyo jamaa ni mtu mtulivu, michango yake na nidhamu yake JF ni nzuri. Nami naungana na wewe na watakaukuja kumtakia happy birthday JS, tulia tafakari nini umefanya rekebisha kasoro ili mwaka huu uwe wenye mafanikio kuliko unaouacha mkuu. Happy Birthday sana mkuu,.