Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,368 Reaction score 38,724 Jun 9, 2015 #1 Mungu akuongezee uhai ufike 103 kama ya pdidy, isiwe ya shida na mateso. Amen. Ukirudi mwakani utukumbuke pia hata na tigopesa wenzio.
Mungu akuongezee uhai ufike 103 kama ya pdidy, isiwe ya shida na mateso. Amen. Ukirudi mwakani utukumbuke pia hata na tigopesa wenzio.
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,467 Reaction score 9,053 Jun 9, 2015 #2 HBD Mkuu. Mambo makubwa hudhihirika baada ya muda, huyu bwana muda wake wa miaka mitano umebadilisha mambo mengi Tanzania. Historia itatwambia!
HBD Mkuu. Mambo makubwa hudhihirika baada ya muda, huyu bwana muda wake wa miaka mitano umebadilisha mambo mengi Tanzania. Historia itatwambia!