Happy birthday John Samuel Malecels

Happy birthday John Samuel Malecels

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,908
Reaction score
7,751
Mzee John (Jumanne?) Malecella anatimiza miaka 80 leo.

Tunamshukuru Mungu kwa kumpa uhai mrefu maana maandiko yanatuambia umri wa kuishi sana sana ni 70 yrs.

Mzee Malecella anastahili kupongezwa na kushirikiana nae katika kumwombea Mungu amzidishie umri maana mchango wake kwa taifa hili si haba.

Nilipomtembelea nyumbani kwake ile njia ya kuelekea ukumbi wa Kilimani Dodoma miaka ya Karibuni aliniambia maneno mengi ya busara sana hasa baada ya kumwambia nina mpango wa kugombea ubunge jimbo langu la Chalinze lakini kwa chama dume, Chadema.

Bado namkumbuka aliponiambia kuwa Chadema tuna nafasi ya kuchukua dola kwakuws CCM ambayo yeye amekuwa makamu wake kwa 10yrs hivi sasa ni ya hovyo.

Leo mzee wetu umetimiza 80 years. Mungu akupe maisha marefu mzee Malecella. Uwe hai uishuhudie Tanganyika yako uliyoipigania hadi kuondolewa u-pm ikirudi.

Happy birthday John (Jumanne?) Cigwiyemisi Samuel Malecella
 
Kuna Mtoto wake humu Anaitwa Le Mutus mbona yuko kimya? Au wewe ndo mpambe wa Wiliam J.Malechela?
Njaa kali inapelekea mtu kufanya asichotegemea kufanya.
TAFAKARI
 
Kuna Mtoto wake humu Anaitwa Le Mutus mbona yuko kimya? Au wewe ndo mpambe wa Wiliam J.Malechela?
Njaa kali inapelekea mtu kufanya asichotegemea kufanya.
TAFAKARI

Ficha upumbavu wako
 
lilac-80th-590x348.jpg
 
Ficha upumbavu wako

Wewe ndo uache kujipendekeza au Malechela ni baba yako?
Wenye baba yao wako kimya wewe unakurupuka tu,Je unajuaje mambo ya familia yao kama wameamua wafanye siri?
ELIMIKA
 
alafu siku zote viongozi wakiwa bench ndiyo wananza kutoaa lawama au kuona matatizo kwa serikali inayo tawala...ccm ovyo kwani alipokua madarakani hakuona
 
Miaka 80 huku anamiliki mtoto chuma kweli kweli wa kipare, ila sifahamu kama anampelekea moto wa maana. mtoto kwa njinsi alivyo anaitaji kusuguliwa sana ili apunguze kuchonga
 
Kuna Mtoto wake humu Anaitwa Le Mutus mbona yuko kimya? Au wewe ndo mpambe wa Wiliam J.Malechela?
Njaa kali inapelekea mtu kufanya asichotegemea kufanya.
TAFAKARI

Usishangae Mkuu pengine ni mke wa Malechela huyo bi Anna Kilango Malechela.
 
Miaka 80 huku anamiliki mtoto chuma kweli kweli wa kipare, ila sifahamu kama anampelekea moto wa maana. mtoto kwa njinsi alivyo anaitaji kusuguliwa sana ili apunguze kuchonga

Wewe ni kichwa maji. jiheshimu uheshimiwe. Malecela sio koonhozi wa kutaniwa maana hana kashfa ya ufisadi au kumpa mwanawe madaraka kama tuonavyo sasa. Mtoto wake nafasi aliyonayo ni juhudi zake binafsi
 
Hongera sana John (Jumanne~J4)
Mungu ni Mwema na akupe maisha marefu sana.
😛opcorn:😛ray2:😛ray2::bathbaby::yo::yo::smile-big::couch2:
 
Miaka 80 huku anamiliki mtoto chuma kweli kweli wa kipare, ila sifahamu kama anampelekea moto wa maana. mtoto kwa njinsi alivyo anaitaji kusuguliwa sana ili apunguze kuchonga

Maneno mengine bhana ni raha tupu kuyasikia, biological mzee yule ukimtazama kazi anaweza kabisa.
 
Happy birthday Malecela. Ila dhambi ya kubadili dini ili ukiwa Rais uingize magaidi Tanganyika itakutafuna hadi utakapokufa!
 
Wewe ndo uache kujipendekeza au Malechela ni baba yako?
Wenye baba yao wako kimya wewe unakurupuka tu,Je unajuaje mambo ya familia yao kama wameamua wafanye siri?
ELIMIKA

Ndio matatizo ya mitoto isiyojua baba zao. We mama yako kakanyagwa kwenye mbio za mwenge hadi ukazaliwa wewe ndo mana una na akili za kidisco disco tu. Unamjua Malecela wewe? Unajua thamani yake kwenye taifa hili? Unadhani yule ni gaidi mwenzio? Pumbaf acha kupost kishoga shoga mbwa wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom