Happy birthday Himidini

Happy birthday Himidini

Happy birthday Himidini, Mungu akujalie maisha marefu ya amani na upendo wa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Himidini Mungu awe nawewe ktk changamoto mbali mbali utakazokutana nazo kadiri umri unavyoongezeka, daima akusaidie kuchagua fungu lililo jema. Ukawe tumaini kwa waliokosa tumani na ukawe msaada/kimbilio kwa wanaohitaji msaada. Mwisho kabisa nakutakia maisha marefu uwaone wana wa wana na uzee wako ujae hekima na baraka.
 
^^
Na iwe sawa ulivyonena!!
Nawe ujae baraka Ablessed
^^
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday rafiki,mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na akupe haja ya moyo wako..akuepushe na matatizo yote katika dunia hii na ukawe faraja na mfano kwa wengine.
 
Shukrani PLL
^^
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: PLL
Happy birthday Himidini Mungu akupe maisha marefu yenye furaha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom