Hahahaaaaa wee mzee ni shida sana. Evelyn alikugusia suala la muamala umemruka jumla.Niko tayari kupigwa fine ili case hiyo iishe salama.
Mambo?
Ha haaaa we njoo tunywe mbege tuHahahaaa!! Hebu usinibanie darasa tafadhali, niambie tu vya kuja navyo. Visosa na kigoda ninavyo.
Sina maana hiyooooSie wapole sana.
Cc Heaven Sent
Me hata sijui kwakweliHivi huwa unafichwa au unajificha!!!


Hahahaaaaaa!! Sitaki kuamini, sasa tukilewa darasa litapanda kweli!!Ha haaaa we njoo tunywe mbege tu
Kwenye jibu hapo ndipo nami napasubiriaMi mzima. Haya lini nimekuwa kungwi?
Achana na msomali sasa hivi kuna mjedaaThanks much mrs msomali


Alafu sijaona zawadi yako na ya msomali. Sijasahau ujue!!!Me hata sijui kwakweli
Naona wadai zawadi mama mzaa chema
Umekuja mrs msomaliMe hata sijui kwakweli
Naona wadai zawadi mama mzaa chema
Alafu nimekuwa mvivuuuu, huwezi amini sijasoma hata episode moja.Achana na msomali sasa hivi kuna mjedaa![]()
Kumbe ni madeko tu!!Mbwembwee tuuu...
Anatakuja lakini ...!
Alafu sijaona zawadi yako na ya msomali. Sijasahau ujue!!!

we mama mbona mkali hivyo kwenye zawadi?