Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,685
Happy birthday
I love you my beibeWacha weee!
Na akirudi utampokeaYaani sio kwa pata potea hii!! Zikimuishia ndio anarudi mikono nyuma kama mtu vile!! Muache tu atatutambua akirudi,labda asirudi.
Tulizana!I love you my beibe
You are not late dear. Thanks muchHappy birthday Heaven Sent hope sijachelewa, be Blessed "
Thank you dearHappy birthday
Nimekumbuka ule mkutano wa Beijing hahaHahahaaa!! Alikimbia kwenda kuyajenga, chezea beijing wewe!!
Asante sana. Tumbo lishabarikiwa, piga goti ombea na mifuko sasa.
mwehuThanks much mrs msomaliHappy bday Heaven Sent,Mungu aendelee kukuongezea busara maa
Hahah haha kuna kila dalili kwamba "mambo" yalijengeka sio kwa kuadimika kule.Hahahaaa!! Alikimbia kwenda kuyajenga, chezea beijing wewe!!
Wale "Mabeijing" hawawezekani.

Kiruuuu!Asante sana. Tumbo lishabarikiwa, piga goti ombea na mifuko sasa.
We naweeeee!! Utaniulia kaka zangu, hadi huku upoI love you my beibe

Sijui katuroga yule!!!Na akirudi utampokea
Stuka my kaka hapo sio kabisaaaa!!Tulizana!
Tuko wangapi?
Hayo mahaba ni ili nitume m-pesa sio?!
Hahahaaaa!! Kwakweli ule mkutano ulikuwa sio wa mchezo mchezo.Nimekumbuka ule mkutano wa Beijing haha
We shaurilo, mifuko ikituna nisikuone.![]()
![]()
mwehu
Yaani ile siku khaaah!! Tulikuwa tunapokezana tu, akichoka mmoja anakuja mwingine. Mtu anatoka huko alikotokea anatukana hata hajui kinachoendelea.Hahah haha kuna kila dalili kwamba "mambo" yalijengeka sio kwa kuadimika kule.![]()
![]()
Wale "Mabeijing" hawawezekani.
![]()
![]()
![]()
![]()
Hiyo kiruuu ya kichaga kabisa haahahaa!!Kiruuuu!
Ngoja nianze sasa kupiga goti ili mifuko ifurike.
Hahahaaa!! Alikimbia kwenda kuyajenga, chezea beijing wewe!!
Ngoda hawezi kuusahau mpambano ule.Kwa sasa nimekuwa mbaba wa kuitikia "aamen" au "haleluyaa" kila niambiwalo na wife.Maisha yanaenda bila hata kutumia grisi