Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Aliye kuwa amekumisimo sana ni espy,mimi nakumbuka mara ya mwisho tulikutana kulee tukiwa na BAK. Ngoda95 ametuhakikishia leo kuwa upo na umefungua darasa la ukungwi.Yaani eti wewe,amesema Ngoda95 kuwa wewe ni kungwi eti,mimi hata nilikuwa sijui... Nikashangaa tu...
Hahahaaaa!! Sio kwa kuruka viunzi huko!!
 
Ngoda alivyo mbishi sasa
Halafu shemeji kale kapicha umekapeleka wapi? Huyo wa mashineni simpendi kama nini
Hahahaaa we msingizie tu kaka yangu!!

RRONDO aliniambia kati ya picha zangu zooote hii ndio inanifaa ila nisimuulize kwanini
 
Najua Unajua kuwa Ni Kwa kiasi gani nimekumiss!!

Xmas haiwezi kuwa njema bila kupokea salamu zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom