Tarehe kama ya leo mwaka 1978 alizaliwa Mbunge wa Kawe-CHADEMA, Mh. Halima Mdee. Halima Mdee ni kati ya mifano ya wanasiasa wa kike wa kitanzania kutokea upinzani aliyethubutu na kugombea Ubunge wa Jimbo na kuachana na ule wa Viti Maalum.
Kuongezeka kwa miaka kunaendana na kuongezeka kwa maarifa,nguvu na hekima. Hongera Halima Mdee kwa siku yako ya kuzaliwa huku ukiendelea kuwatumikia wananchi wako wa Kawe na Taifa kwa ujumla.