ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
hamna shida nitakupitiaMm nipo nakusubiri
hamna shida nitakupitiaMm nipo nakusubiri
Sawa jirani mi nipo hapa naangalia mapambo na wapambaji wanavyo nogesha ukumbibasi hain shida nitaelekeza
nakuaminia jirani sikukosea kukuchaguaSawa jirani mi nipo hapa naangalia mapambo na wapambaji wanavyo nogesha ukumbi
wewe nenda tu mdogo wangu hakikisha unafata mashart tubajipanga tuje kukuona Inshaallahmimi natoka jamani..
Usijari rafiki tupo pamoja...... badaeAhsante sana rafiki wa Hajar sio siri nimefarijika kwani umeonyesha ni jinsi gani unamjali rafiki yako aisee sababu sikutegemea kukuona huku kwa hali uliyo nayo sasa rafiki.
Amiin Insha Allah na iwe hivyo siku zote rafiki.
Ugua pole bana rafiki Allah azidi kukupa nguvu zaidi ya hapo Insha Allah.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani jirani unanifahamu kwenye mambo ya msingi kama haya huwa nafanya kwelinakuaminia jirani sikukosea kukuchagua
Nitashukuru ila mje na Mwifwawewe nenda tu mdogo wangu hakikisha unafata mashart tubajipanga tuje kukuona Inshaallah
Ahsante sana dada kwa dua zako. Nimefurahi mno kuuona uwepo wako leo. Ubarikiwe mnoo.
Ukikaa jua siku zote Hajar penda sana wewe Dada.Tugange yajayo sasa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



nakupenda pia dada akee usijali tupo pamoja

Mimi nakuja hata leo kabisa...Nitashukuru ila mje na Mwifwa
Toka lini ?!Happy birthday day love, sweet heart, baby, mahabuba, laazizi, kipenzi changu......
![]()
hukosei wewYaani jirani unanifahamu kwenye mambo ya msingi kama haya huwa nafanya kweli
nitamkokota wala usijaliNitashukuru ila mje na Mwifwa
Mwulize mwenyewe, ....Toka lini ?!
Haha mbona naskia ni saa 7 na si saa tisa mtani....Thank u much Mtani.
Amiin. Usijali Mtani ntakurushia weye tena.
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila usinikimbie saa tisa.![]()
![]()