Happy Birthday Hajar

Happy Birthday Hajar

Ahsante sana rafiki. Ila umeniangusha jamaani yaani umeamua kuja kijioni jioni hivi aisee.

yani ndo kwaanza naiona mida hii..
Ila hawajakumwagia maji au matope kweli
Maana birthday za bongo sikuhizi majanga matupu
Ukiingiia zako mtaani tu huna hili wala lile unashtukia ndoo la maji au tope
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom