Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Happy birthday to Geniveros
asant mama la mamaHappy birthday to Geniveros
![]()
![]()
mi nkajua mpk leoo...!!
kumbe we ni team michael jordan...ile wakifungwa unaumwaa![]()
![]()
![]()
kina curry hawajui...?Nilikuwa nakosa raha sana aisee, lakini wakati ule mchezo ulikuwa bomba sana maana hata timu mbofu mbofu (isomeke mbovu) siku zinacheza na Michael Jordan and Da Bulls walikuwa wanaoania sana kushinda kwa kujua fika jamaa kwa jinsi alivyokuwa mshindani alikuwa hapendi kufungwa na timu yoyote ile. Siku hizi ni midabwada tu mvuto si kivile tena.

Ewaaaaando alikotoka binti shunie
Tanga raha BAK
kina curry hawajui...?![]()
![]()
![]()
Hahahahahahahaha nawajua hao lakini kwangu mimi hawana mvuto kiasi kile lol! Wapi invitation card yangu?
daahh...hongera!ahsante my rubiii
uchoyo tena wa nini?!!
Karibu! mbona hujaniita mambo ya biere na keki
mwenye keki katukimbiaa
Utapendaje kuondoka kwa raha zile kakaNi kweli aisee, huwa najisikia raha sana nikiwa Tanga hata kuondoka huwa sipendi.