Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Bonny hasikii kwa huyu mrembo.Kumbee ndio MP hatimaye leo umefunguka
Hiyo ndiyo zawadi yangu ya birthday. Kukuchekesha![]()
![]()
![]()
![]()
kaaah
Ahahhhh si kwa bonny ninaemfahamuBonny hasikii kwa huyu mrembo.
Soma haraka ni edit kabla hajaja
ha hahaaaa....ikawaje?!!!yaan bonny week moja kabla ya bday yangu akalipie cake kabisa namfahamu huyu baba
loooh...kaka kasahau mpk unduguu...kweli pale kati patamuKuna mrembo anaitwa Money Penny amemficha.
Ndge mjanja hukamatika Pabovu.Ahahhhh si kwa bonny ninaemfahamu
yaani mpk mshikaki mmoja umemshindaa..!Huyo MP jamaan ebu atuachie kidogo kaka yetu jamaan
Si alipie week moja kabla sitaki yatokee kama yaliyokutokea leo hivi kwanza atalipia au najiwazisha tu hapa na mawazo ya usikuha hahaaaa....ikawaje?!!!
na navyopenda kucheka sasaaHiyo ndiyo zawadi yangu ya birthday. Kukuchekesha
asante
Ndge mjanja hukamatika Pabovu.
Kesho kutwa tegemea riwaya mpya.
Na itaitwa, penzi la jamii forum mabano M&B. Yaani MP na bonny



bamdogo usisahau kunitag ikiletwa hiyo riwayahii kali M an B....Ndge mjanja hukamatika Pabovu.
Kesho kutwa tegemea riwaya mpya.
Na itaitwa, penzi la jamii forum mabano M&B. Yaani MP na bonny