Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Kwa hizo lips nilijua lazima upende tuna navyopenda kucheka sasaa![]()
![]()
![]()
asante
Kwa hizo lips nilijua lazima upende tuna navyopenda kucheka sasaa![]()
![]()
![]()
asante
Mmh, kaka ako ? Elezea huku ukikoleza maandishi pointi za ukakaAhahahh manga jamaan kaka angu yule
Si alipie week moja kabla sitaki yatokee kama yaliyokutokea leo hivi kwanza atalipia au najiwazisha tu hapa na mawazo ya usiku
mawazo ya usiku haya shostiii...ishakula kwakok
Nimeghaili bamdogo sitaki tena acha tuendelee tu na ukaka na kaka manga msambaa mwenzanguMmh, kaka ako ? Elezea huku ukikoleza maandishi pointi za ukaka
ahsante kaka wa basketball...
Haya bwana mie sina neno.Nimeghaili bamdogo sitaki tena acha tuendelee tu na ukaka na kaka manga msambaa mwenzangu
wasambaa on the fleek!!Nimeghaili bamdogo sitaki tena acha tuendelee tu na ukaka na kaka manga msambaa mwenzangu
woyooooo mkataa kwao mtumwawasambaa on the fleek!!
ahsante kaka wa basketball...
Kobe wa kibongo...maana wapenda basket kuliko kula....
Hahahahahahaha lol! siku hizi umebaki ushabiki tu wa kupenda mchezo ila enzi za Michael Jordan hasa kwenye playoffs nilikuwa nakuwa nervous hadi sitaki kuangalia lol! kwa kuhofia Da Bulls watafungwa. Siku hizi walaaa.
mi nkajua mpk leoo...!!

Tanga raha BAKTanga kunani?
ndo alikotoka binti shunieTanga kunani?