Happy Birthday Fixed Point

Happy Birthday Fixed Point

... na samahani sana sikuweza kuwa ukumbini kwa siku ya jana maana nilikuwa nina majukumu mengine mazito sana.

Mtani hata usijali, nilimshtua mlongo wako snowhite awe ndio besidei gelo kwa niaba yako...lakini keki yako alikula yoteeee na mimi nkamdoea kidoncho tu
 
Last edited by a moderator:
Kumbe FP ni shoga?

HBD mkwe wangu. Anza kupunguza punguza mahari tuone wajukuu zetu. Watatucheka watu.
ha haaa, babu nitake radhi, otherwise hatuji kutoa mahari binti yako atatorokea kwetu bila ruhusa.
Asante sana Mkwe. Mahari ndo tunajipanga bana, maana tunajua huko tunatakiwa tuje kikamilifu
 
Happy Bday dear, nadhani umefika wakati wa kukuona live, kama kutakuwa na 'shughuli' naomba mwaliko
ha haaa, pole dear, hakukuwa na shughuli maana nilikuwa na majukumu mengine...
Ila haina shida andaa shughuli utualike rafiki
 
happy+birthday+sister+hd+wallpaper+free100%25.jpg
My dear.....
thank you so much...
wanasemaga ukimwombea mtu kitu kinakuwa kweli....
This birthday I had nicest and sweetest surprises ever..... yaani hadi nililia....
Asante sana kwa hiyo wish yako my lil sis.....
Barikiwa sana
 
Happy birthday wifi........(japo kaka yako bado namzungusha).......na uwe na maisha marefu........
Asante sana wifi....
vibaya unajua kumzungusha kakangu mpaka leo....
basi nidokezee wifiyo anakwama wapi mpaka anazungushwa mpaka leo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom