Happy Birthday Five Nil.

Happy Birthday Five Nil.

@Masuke naona unataka wajamaa waje na hasira hapa :flame:

Anyway, ni mabingwa hawa bana ngoja tuwape respect japo watano

Bila shaka hawajasahau
"MKONO"
 
@Masuke naona unataka wajamaa waje na hasira hapa :flame:

Anyway, ni mabingwa hawa bana ngoja tuwape respect japo watano

Bila shaka hawajasahau
"MKONO"

Wao wanasherehekea ubingwa na sisi tunajipongeza kwa Five Nil wetu kutimiza mwaka mmoja, hicho kipigo hawawezi kusahau na kwa technolojia hii tutakuwa tunawakumbusha mara kwa mara.
 
5 yanataka kujirudia ya mwaka 197......
Ni maneno ya mtangazaji siku ya mechi.

Teh teh kwi kwi kwi ila Yanga ni
Bingwa mwaka huu ila Simba
aliandika Historia ndeeefuuu sana.
 
Wanasema tunakula saba safari hii na timu yetu ya madogo, ngoja tuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom