Ahaaa hizo ni rahisi mpendawa hazihitaji ujuzi mwingi!Tena farkhina anazijulia!unapenda za sukari au chumvi?tukutane jukwaa la mapishi 🙂
Na wengine baadala ya sukari wanatumia asali!Haaa kumbe ziko za chumvi na za sukari?Mi hata sijui wanaweka nini,najua tu kula!Basi labda niseme za sukari
Na wengine baadala ya sukari wanatumia asali!
chapati za kumimina?:smile-big:Ndio nasikia leo au unamaanisha mkate wa kumimina mpendwa ?chapati zipo za maji na za kusukuma
Cc farkhina
Ongezea na hii....
![]()
Happy birthday, mola akujaalie umri mrefu na siha njema Inshaallah!
Happy birthday mkwe wangu...Mungu akupe umri mrefu wenye kheri na wewe