Happy birthday Dr. Wilbrod Slaa

Happy birthday Dr. Wilbrod Slaa

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,777
Reaction score
42,921
Mungu akubariki na akupe maisha marefu zaidi ikiwa siku ya leo unatimiza miaka 66. Akupe na nguvu zaidi ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa mkoloni mweusi.
images
 
...!kumbe bado kijana! 66?
 
Happy Birthday Dr. Mungu akupe maisha marefu na akutie nguvu zaidi tukomboe Watu.
 
H.b.d Wilbroad Mungu akujalie uzime mishumaa zaidi ya miamoja.
 
Mungu akubariki na akupe maisha marefu zaidi ikiwa siku ya leo unatimiza miaka 66. Akupe na nguvu zaidi ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa mkoloni mweusi.

66? Kumbe bado 'yankii', anaonekana kachoka zaidi.
 
Happy birthday mshindi halali wa kura ya Urais 2010 na Dr wa kweli asiye wa maigizo Wilbroad Slaa

Mungu akubariki na akupe maisha marefu zaidi ikiwa siku ya leo unatimiza miaka 66. Akupe na nguvu zaidi ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa mkoloni mweusi.
 
Happy birthday Dr Slaa;tunakuombea Kwa Mungu uishi maisha marefu zaidi
 
HBD dr slaa.

ebhanaeeee!,kumbe ktk kipindi hiki cha kuelekea holidays na mwisho wa mwaka wamezaliwa magwiji.juzi kati alikuwa babalao bill gate.ya kwangu ni tarehe 19 mwezi wa 12.
 
Dr slaa anaumri marambili ya ule wa chama cha mapinduzi ha ha ha ha ha ha ha!
 
Happy birth day Dr. Slaa
 
Attachments

  • 1414575595342.jpg
    1414575595342.jpg
    12.5 KB · Views: 227

Similar Discussions

Back
Top Bottom