Hakuna saa kumi yoyote inayoitwa mchana.
Anapuliza mishumaa izimike!WondersAu anamung'unya keki kwa hisia kama anatazama Korean drama!😂😂😂😂Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.
Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.
Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.
AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Jisemee wewe mwenyewe usisemee jamii. Kwa wazungu wanawake na wanaume birthday ni siku muhimu kwao, sisi tunaiga tu.Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.
Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.
Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.
AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Na weye huwa unaadhimisha na kujipulizisha mishumaa kama wazungu?Jisemee wewe mwenyewe usisemee jamii. Kwa wazungu wanawake na wanaume birthday ni siku muhimu kwao, sisi tunaiga tu.
Mimi kwa mwaka niliozaliwa hizo birthdays wala valentines hazikuwepo kwenye vocabulary zetu. Nyinyi vijana wa sasa ndiyo munaiga uzungu.Na weye huwa unaadhimisha na kujipulizisha mishumaa kama wazungu?
Sawa.Ila ungeandika "vocabularies"!Mimi kwa mwaka niliozaliwa hizo birthdays wala valentines hazikuwepo kwenye vocabulary zetu. Nyinyi vijana wa sasa ndiyo munaiga uzungu.
Jiongeze kidogo:Sawa.Ila ungeandika "vocabularies"!
Umeanza ubishi wako wa uzeeni.Umechokozwa kidogo tu,umecharuka.😜😜👆Jiongeze kidogo:
"Vocabulary is generally an uncountable, or mass noun in English. It's neither singular or plural, however it is treated as singular for the purposes of verb conjugation, as most uncountable/mass nouns are. You can use the word “vocabularies” but only when you are talking about different kinds/sets of vocabulary."
Sawa lakini nakuelewesha tu, wewe ulinisahihisha kwa kudhania nimekosea na mimi ndiyo nimekupa maana ya hilo neno.Umeanza ubishi wako wa uzeeni.Umechokozwa kidogo tu,umecharuka.😜😜👆
Sawa mwalimu wa tuisheni.Sawa lakini nakuelewesha tu, wewe ulinisahihisha kwa kudhania nimekosea na mimi ndiyo nimekupa maana ya hilo neno.
Siku ya kuzaliwa Simba wa Yuda ambayo hata wewe unaishiriki ingekuwa haramu basi Mungu angeshatumwagia moto wa Sodoma na Gomorah.Kuna vitu Kuna ishu Mwanaume hutakiwi kabisa kuzijua Wala kuzifanya.
Kwamfano Mimi mambo ya Birthday siyajui kabisa Hata Tarehe ya kuzaliwa natamani Ingefutika kabisa KICHWANI.
Mwanaume MZIMA unasherekea.
Haya ni mambo ya Wanawake.
AMA KWELI WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI KUBWA SANA.
Heri kwake..Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.
Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu ipo siku ataachia namba niweze kumuendea hewani.
Happy Birthday Depal , ishi maisha marefu yenye afya na furaha tele.