Happy birthday - dena amsi

happy birthday to you.... happy birthday to you.....
happy birthday, happy birthday.............
 

Yaani hapa huna kesi hii adhabu uliyojipa inatosha kabisa mtoto mjanja wewe
Maana nilivyokuwa nimekupania kukupa adhabu usiombe kabisa
 
Hiyo tenda unanipa au vipi?
Unanzingua tu ntankuchenjie na mtoto wako
chezea tandale kwa mfuga mbwa?
Aaaaaaaaah,sema sawa sawa basi. Halafu wewe ni jirani yangu, utanitajia tu jina la mjumbe mambo yatakuwa safi hata hivyo kila kitu kilshakuwa tayari.....karibu.
 
Yaani hapa huna kesi hii adhabu uliyojipa inatosha kabisa mtoto mjanja wewe
Maana nilivyokuwa nimekupania kukupa adhabu usiombe kabisa
Hahaha! Asante kwa kuniondolea adhabu.


Hebu mwangalie Fidel naona amelewa sana afu anataka kuondoka na glasi za watu...hivi si tulimwambia klorokwini alinde wazamiaji hapo getini? Keshatoroka mbaya zaidi kabeba na chupa za biya, kuna kreti hapa chupa 10 hazionekani...


The Finest aliondoka kabeba uma na kisu nkamuliza kulikoni akadai eti ni vyake alikuazima kwa mda, ya kweli haya DA?


Shemeji ako Bishanga alipita akasema umbakishie keki anawahi kanisani, eti ana apointimenti na baba mchungaji Masanilo, hivi DA bishanga kaokoka siku hizi? Manake alivyopita aliomba apatiwe maji tu..
 

Kaokoa sina taarifa kama hii aisee hii ni News huyo alikuwa anawahi Maisha Club si unajua weekend ilivyo ndefu???
 
hahahahahah safi sana mamake..
Mi mkoloni wangu kanibana kesho
kubeba mabox kama kawa.. haya enjoy
ukimuona babu ASPRIN mdondoshee hiiii..

Thats my girlie......... ndo maana sitaacha kukupenda wallah......... na wenye wivu wameze mkasi

kabla sijadondosha kesha daka khaaa babu huyu kwa vimiminika( kileo)
Nisingewahi ulivyo mroho si ningetoka bila bila......:hat:
 
Wifi yangu Dena Amsi HONGERA saaaana Kwa Kuongeza Umri.

Mwenyezi Mungu Akujaalie na Kukubariki uwe na Maisha Mareeeeefu yenye baraka tele!


:flypig:.....HAPPY BIRTHDAY DEAREST......:flypig:
 
Huyu mtoto nae sijui bado kalala???maana shughuli ya jana si mchezo, ngoja nimtafute aje achukue zawadi yake.

,

Ha ha ha mjomba bana nimeamka tayari hebu mwambie aje anipe hiyo zawadi niko hapa kona ya mwisho nakuja
 
Wifi yangu Dena Amsi HONGERA saaaana Kwa Kuongeza Umri.

Mwenyezi Mungu Akujaalie na Kukubariki uwe na Maisha Mareeeeefu yenye baraka tele!


:flypig:.....HAPPY BIRTHDAY DEAREST......:flypig:

Nashukuru my wiiiii (Ila una kesi ya kujibu ujue???)
 
Khaaa mwaka huu nimesahaulika kweli duuuhh Tall na ishapita he he uzee ndo huu
 
Last edited by a moderator:
Usijali mtoto mpya.. Haya pokea hii zawadi wa niaba ya waliokusahau....

 
Nimechelewa ila mwezi haujesha bado, hongera kwako D.A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…