Happy birthday - dena amsi

kamati ya vinywaji amepewa nani mkuu? Maana wknd hii na jinsi hali ilivyo ngumu baa hakuendeki.
kapewa BADILI TABIA.....ila naona wewe utafaa ile ya usalama,unaonekana mbabembabe vile unaweza kumbishia mtu asipite mlangoni hata kama kadi anayo. Unaweza kum PM badili tabia ili uwe makamu wake. ILA CHONDECHONDE WATU WANYWE HADI WAKOLEEE.
 
hahahahahaha babu Shkamoo..
mlangoni si ndo pressure zitaongezeka jamani..

labda tukuache u enjoy tu babu yetu hakuna kazi..

Nitakusamehe mjukuu wangu kipenzi AD, .....kwa sababu hujayaona!!

Hivi hujui kuwa mpishi anashiba mapema na kwa kiwango cha juu kuliko walaji???


Babu DC!!
 
Hudhani eti....???

Basi mwombe Bishanga mwenyewe atueleze sijui dictionary au thesaurus yake inasemaje katika kizungu cha bongo!!

Ila binafsi nina wasi wasi sana labda pia tunaweza kuomba msaada wa independent consultant!!
kwani mkuu wewe na Bishanga ni kabila moja???
 
Happy birthday dena. Uwe na afya njema. Njo mpwapwa nimekuandalia zawadi.
Ha ha ha,wenyewe huita MHANVWA ila wageni wakashindwa kutamka hivyo wakaita MPWAPWA ......AJE Maeneo gani sasa???
si unajua mi mjomba wake lazima nijue?? aje KIKOMBO,VINGHAWE,ILOLO AU???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…