Happy birthday - dena amsi

Happy birthday - dena amsi

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Posts
1,425
Reaction score
168
1.LEO MTOTO WA KIKE DENA AMSI AMEZALIWA......HONGERA SANA DENA KUTIMIZA MIAKA....??...LEO
2.MUNGU AKULINDE,AKUBARIKI NA AKUZIDISHIE MILELE NA MILELE.

Leo wana JF tunaunganisha sherehe za miaka 50 tunaanzia hapahapa, tunaanza na hii ya DENA, KESHO UHURU.......
kufikia jumatatu kimeeleweka. Sijui viwanja/maeneo gani vinafaa, Kule kwangu TANDALE KWA MTOGOLE HAKUFAI KUNA MATOPE. LEO MVUA KUBWA. Sijui tukaanzie kule kule kwenye maonyesho VIWANJA VYA sabasaba??.
Leteni mapendekezo wapi safi na daaaaaah kaubaridi ka leo???? Mwenye kutumia konyagi sawa, mwenye kunywa mbege poa,
na mnywaji wa Mtakatifu Anna ( SAINT ANNA) sawa vilevile, Haya niambieni ni wapi na utatumia nini?? mjue mimi mwenyekiti wa kamati ya sherehe......weka mapendekezo hapa live....PM haziruhusiwi.

HAPPY BIRHDAY DENA AMSI
 
Hongera bibie kwa kutimiza miaka hiyooo!naamini utakuwa umekula viroba kadhaa vya chumvi. Hongera sana denaAmsi
 
ni nadra sana kukuta humu jamvini vidume vinatakiana birthday njema vyenyewe kwa vyenyewe.mara nyingi ni opposiste sex ingawa watapinga kuwa umejuaje kuwa mi ni jinsia fulani.Haya wazee wa vikopa endeleeni na mambo yenu!
 
Heri ya siku ya kuzaliwa Dena. Kila la kheri, nangojea lokesheni ya party manake waswahili sie hali ngumu ila milioni 15 za kuparty hazikosekani
 
ni nadra sana kukuta humu jamvini vidume vinatakiana birthday njema vyenyewe kwa vyenyewe.mara nyingi ni opposiste sex ingawa watapinga kuwa umejuaje kuwa mi ni jinsia fulani.Haya wazee wa vikopa endeleeni na mambo yenu!
HUJASOMEKA. Unadai ni vidume kwa vidume fafanua??? .....lakini kabla hujafafanua lazima nikemee....USHINDWE NA ULEGEE.
daktari kathibitisha mtoto ni wa kike..........halafu?????? ninaeandika hapa ni KIDUME....UNALAKO JAMBO.
 
Hongera sana DA,

Naamini leo unaweza kusimama na kuchungulia njia ndefu ambayo umeshaikamilisha katika safari yako na pia kutafakari sehemu iliyobaki....Ingawa huwezi kuwa na hakika bado safari ndefu kiasi gani,....Tunamwomba Mungu akuzidishie urefu na kunyoosa njia ya safari yako iliyobaki ili siku moja ufurahie kuwaona wajukuu na vitukuu!!

Mungu akubariki sana,

Kaka yako mpendwa,

Babu DC (1947)!!
 
heri ya siku ya kuzaliwa dena. Kila la kheri, nangojea lokesheni ya party manake waswahili sie hali ngumu ila milioni 15 za kuparty hazikosekani
ni uamuzi tu..............karibu,ila usije na hilo libunduki.
 
0066.gif

0004.gif
0005.gif
0014.gif
0001.gif

0001.gif
0013.gif
0019.gif
0009.gif


 
Happy Birthday Dena

Mungu akujalie uishi maisha mema. Uwe na tabia njema, si kama ya King'asti ya kupiga chabo kwenye magesti ya uswazi.

Hii ni sababu nyingine ya kunywa bia nyingi kwenye hii Long weekend.
 
May the sun's rays shine brightest on you today with the wind at your heals. Happy Birthday DENA
 
Back
Top Bottom