Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,756
- 42,665
Her birthday? Seriously madam? π π πIt's her birthday ! Let her enjoy to the fullest
Her birthday? Seriously madam? π π πIt's her birthday ! Let her enjoy to the fullest
Niko poa, adimu sana!!Nipo mrembo.
Nilkuwa busy kiasi mambo ya maokoto. Uko poa
Kantry akija atasema umejiwish wizo πππWizo akee mimi πππ
Happy Birthday Coca, wifi angu mwenyeweee, wifi asiye na makuu.
Bichwa Komwe najivunia sana kuwa na wifi kama wewe.
Mimi nipo mama.Niko poa, adimu sana!!
Karibu tena sie tupo, ule uzi wetu umerudi bro π
ππππ kumbe anajuaga mie ndo coca, mwehu kweli πππKantry akija atasema umejiwish wizo πππ
Ule wa mafoto bhana πππMimi nipo mama.
Upi tena na wewe, mpe Hi country
Hajui hilo πππππππ kumbe anajuaga mie ndo coca, mwehu kweli πππ
Afu asichojua coca ni pisi kali, wakati mie ni mshangaziii, wapi na wapiiiiii πππ
π―π―Ule wa mafoto bhana πππ
Cantry nitampa salam zako, anakuelewa sana mzee wa michano π€£
Hivi unanitakia nini lakini π€£π€£π€£π€£ eeeeenh??? ππHajui hilo πππ
Sema wizo ufanye uolewe na mr maba π€£π€£
Upo mpya sio wa zamani, njoo utubless na kafoto ka kufingia mwakaπ―π―
Nipe location mremboUpo mpya sio wa zamani, njoo utubless na kafoto ka kufingia mwaka
ππππ wizo nakutakia mema bhana!!Hivi unanitakia nini lakini π€£π€£π€£π€£ eeeeenh??? ππ
Nakutag waitNipe location mrembo
Unataka niende jela πππ mi nazabua mikofi haswa na usiombe nikuzabue mikofi ya wowowo πππ jela itahusika tena ntapelekwa jela ya mashangazi akii πππππππππ wizo nakutakia mema bhana!!
Nataka uwe unalizabua mikofi liache uongo na kiherehere
Naona unanipambanisha na wizoπKantry akija atasema umejiwish wizo πππ
Her tena?It's her birthday ! Let her enjoy to the fullest
ππππ wizo bhana unanichekeshaga sana!!Unataka niende jela πππ mi nazabua mikofi haswa na usiombe nikuzabue mikofi ya wowowo πππ jela itahusika tena ntapelekwa jela ya mashangazi akii πππππ
ππππ ww c ndio ulikuwa unasumbua tukuitieNaona unanipambanisha na wizoπ