Happy birthday cocastic

Waaaachaa weee udugu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndiomana umeamua kurudi uendelee kurambwa [emoji12]
Itabidi nimlete wangu achukue ujuzi na me nirambwe [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado sijacherewa kwakua sikuambiwa na hiki kiherehere changu Wacha nikuone hongera kwa kuendelea kuzeeka [emoji1635]
Ahsanteee ba tamu wa mchongoo, niletee zawadi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbn kama swart inaharufu mbaya kama ya maviπŸ™„
Umekula kabla ya kujoin jf? Unaelewa maana ya King mswati au tukueleweshe na bakora?! Umezoea kucheza na kinnyesi mpk ukiona maandishi unahisi kinyes?
 
Cake itoke wapiii, km wee ba tamu ni apeche alolo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume maskinii weyee.
Ninakufa na umasikini niliotengenezewa na ww haki 🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…