G
Happy basdei hongera zake, Amezaliwa na Yesu
Hahahaa haaaa Nimecheka
nitakupm ucjali mkuu
ooh Lord! !!!im humbled, speechless! !!
Thanks mokoyo for this.
Napenda kutumia fursa hii, kwanza kumshukuru Mungu aliyenitoa mbali.
amejibu maombi yangu kwakweli! !!
pili wazaz wangu kwa malezi yao, nawaombea kwa Mungu awabariki! !
pia ndugu jamaa na marafiki ndani na nje ya jf kwa namna moja au nyingine najua tunategemeana kwa mengi,
tusameheane tulipokoseana and tuanze upya.
nawapenda wana mmu nimejifunza mengi kupitia jukwaa hili na jf kiujumla
thanks again
Xtine ibrahim

Mkuu BAK, muwekee huyu mrembo na kamuziki katamu bana kama kawaida yako, salute chief, krismasi njema
Merry Christmas bro barikiwa sanaNimekusikia Mkuu Mokoyo, Xma njema kwako pia Mkuu.
Rafiki christine ibrahim HAPPY BIRTH DAY.
Merry Christmas bro barikiwa sana