Happy birthday ccm...

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
Around 5 feb 1977 a new political party was born ,it was the result of the intermarriage afro-shiraz and tanu then produced CCM,It has now reached 34 years,its the task of the party to make evaluations what it did since it birth up to its maturity ,otherwise its an ample tyme we from CDM and those of ccm...happy birthday ccm ............
 
@ndevumbili,am just watchng wanampatia mkwere sifa za kijinga.-what abt you utaparticipate
 
siamini km bado kuna wanaitukuza ccm na ni watz wazalendo kwani watz wazalendo wote hawataki kusikia ccm au ccm-b(cuf)
 
coffin.jpg coffin.jpg coffin.jpg
c c m
 
@chetuntu,teh teh teh na naona wametengeneza mazuri kweli,babu nyerere angekuwa hai jamani angemtandika mkwere bakora tano za nguuuuuuuvu.
 
Happy DEATH-DAY ccm!

M/kiti wenu amekiri hadharani kuwa hali yenu ni MBAYA MNO kutokana na hali ya UPINZANI na kwamba inawapasa kubadili uelekeo!
Sijui mtajipaka rangi gani muonekane mbele ya watz!
 
Mnakumbuka huu mwimbo zamani tulikuwa tunaimba shuleni? kuzaliwa kwa chama kipyaaaaa*2 tarehe tano ....mwezi wa pili .....sabini na saba ....eee mungu kipe baraka. nakumbusha tu jamani
 
Thanx gaga and pakajimmy ,nadhani its better if i would call it its death day and they have dig the grave for their own ,lets put flowers on the grave ,bye bye chama cha majungu
 
leo arusha kimya huwezi jua kama leo ni 5 feb kama ya miaka iliyopita..asubuhi walikuwa wanagawa t-shirt na kofia lakini mitaani watu hawajazivaa na niko uwanjani naona mtu moja anakofia ya ccm na vijana wawili wamevaa t-shirt..
 
leo arusha kimya huwezi jua kama leo ni 5 feb kama ya miaka iliyopita..asubuhi walikuwa wanagawa t-shirt na kofia lakini mitaani watu hawajazivaa na niko uwanjani naona mtu moja anakofia ya ccm na vijana wawili wamevaa t-shirt..

Nilishasahau hata kama kuna hiki kitu tena Bongo!!!! Ndo maana kuna Gari lilikuwa na bendera za CCM huku likipiga nyimbo za kutukuza CCm lilipita hapa A-town karibu kabisa na Stand maeneo ya AQ Hotel. Yaani wazalendo wameiangalia hiyo Hiace vibaya hata Beba Mavi inaangaliwa vizuri!!!

Ninachojua Pied dem na Allowances nyingine kwa ajili ya viongozi waliokwenda DOM zitakuwa zimelipwa kwa fedha za Kodi ya mwananchi kutoka Hazina......... nchi hii Mh!!!!
 
Jamani tupende kuwakumbusha hawa wana-ccm wakumbuke kuwalipa hawa watoto wa halaki haki yao mana wasije wakawadhurumu kama wale wadogo wa halaiki kigoma waliodhulumiwa haki zao after kusherehesha siku ya trh 9-12-2010,
 
Back
Top Bottom