Happy Birthday Cacico

Happy Birthday Cacico

mwaJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
4,074
Reaction score
2,950
Dearest cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.
Birthday+cake40.JPG
@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita na mdogo wako Zion Daughter. Mwita Maranya karibu japo nisingependa uje maana umenikera kwa kuhangaika na nyumba ndogo kila leo. Bujibuji rafiki yangu karibu sana tufurahi na cacico unaweza kumpitia Kongosho. Wifi yangu wa ukweli Smile usisahau kumletea rafiki yangu zawadi. Mtambuzi asante sana (unajua sababu ya mie kushukuru, lol!). Rafiki zangu wote karibuni najua cacico hatojali mie kumletea wageni wengi. Wote akina @FP, gfsonwin, Kaunga, ASHA Dii - wewe usisahau kuja na msiri Wangi Kaizer. Mamndenyi naona ulivyonuna, karibu bana mie na wewe? Erickb52 wapiti na wenzako. amu, Bint.com na wengine wote karibuni sana. Mie nipo na cacico hapa tunashereheka.
 
Last edited by a moderator:

happy birthday dearest cacico!
love uuuuuu much much bi dada live long !
 
nishafika dear ngoja nivae kipedo!
Dearest cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.
Birthday+cake40.JPG
@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita na mdogo wako Zion Daughter. Mwita Maranya karibu japo nisingependa uje maana umenikera kwa kuhangaika na nyumba ndogo kila leo. Bujibuji rafiki yangu karibu sana tufurahi na cacico unaweza kumpitia Kongosho. Wifi yangu wa ukweli Smile usisahau kumletea rafiki yangu zawadi. Mtambuzi asante sana (unajua sababu ya mie kushukuru, lol!). Rafiki zangu wote karibuni najua cacico hatojali mie kumletea wageni wengi. Wote akina @FP, gfsonwin, Kaunga, ASHA Dii - wewe usisahau kuja na msiri Wangi Kaizer. Mamndenyi naona ulivyonuna, karibu bana mie na wewe? Erickb52 wapiti na wenzako. amu, Bint.com na wengine wote karibuni sana. Mie nipo na cacico hapa tunashereheka.
 
Waoh, na nilivyokuwa na hamu ya cake, thanks cacico kwa kunipa sababu ya kufakamia cake na sweet icing yake.
Happy special day mama Twi
 
Last edited by a moderator:
happy birthday my swt friend cacico MUNGU AKUJALIE MEMA YA NCHI HII.

salam kwa wanangu
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday sis cacico.
Be blessed today and always.
 
Last edited by a moderator:
hakyamama......najua sijachelewa.........Happy birthday cacico........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom