Dearest
cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.
@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita na mdogo wako
Zion Daughter.
Mwita Maranya karibu japo nisingependa uje maana umenikera kwa kuhangaika na nyumba ndogo kila leo.
Bujibuji rafiki yangu karibu sana tufurahi na
cacico unaweza kumpitia
Kongosho. Wifi yangu wa ukweli
Smile usisahau kumletea rafiki yangu zawadi.
Mtambuzi asante sana (unajua sababu ya mie kushukuru, lol!). Rafiki zangu wote karibuni najua cacico hatojali mie kumletea wageni wengi. Wote akina @FP,
gfsonwin,
Kaunga,
ASHA Dii - wewe usisahau kuja na msiri Wangi
Kaizer.
Mamndenyi naona ulivyonuna, karibu bana mie na wewe?
Erickb52 wapiti na wenzako.
amu,
Bint.com na wengine wote karibuni sana. Mie nipo na
cacico hapa tunashereheka.