Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Passion Lady my only and only wife ni miss chagga hao wengine sijui wametoka wapi
Now nimekuwa mwema nina mke mmoja tuu na wala sina nyumba ndogo
Mr Rocky nalia machozi yangu utayalipa nakwambia kumbe we ni mwongo
My dear wife miss chagga achana na hao wasiopenda meli yetu ielee wanaleta maneno yao huku
Mi love you sana my wife na nakuhakikishia hakuna kama wewe
hao akina Mamndenyina Passion Lady wanaongea tuu hawajui tumevuka vingapi mpaka kufika hapa
misschagga umeingia cha kike wallah!!
wenzio nao kila leo wanaambiwa hivyo!!binamu mtambo khaa!!
Duh wazushi wamekuja Passion Lady na Mamndenyi mnaharibu ndoa yangu na miss chagga aise na ninavyompenda miss chagga ni balaa sijui nitafanyaje bila yeye
Hallow Marafiki
Wish you a very happy birthday
May life lead you to great happiness
success and hope that all your wishes
come true;
enjoy your day
Happy Birthday my cousin wa ukweliiiii
POKEA ZAWADI HII NDOGO YA CAKE
View attachment 166420
View attachment 166421
kARIBUNI MARAFIKI TUMTAKIE HERI NA FANAKA BESTITO WETU Passion Lady
daddy and Mumy watu8 & Measron muna kitu cha kusema kwa Passion Lady
Wasalaamu L
Ladyf
Mr Rocky jamni
hamna lolote,unamzuga tu
mtt wa watu!!
miss chagga unawasilikiza hao au unanisikiliza mimi
Mimi ndio nakupenda hao hawataki kuniona na wewe tukiwa na furaha
miss chagga unawasilikiza hao au unanisikiliza mimi
Mimi ndio nakupenda hao hawataki kuniona na wewe tukiwa na furaha